May 16, 2011

usanii wa wasirikali

tulidhaani wasanii ni wale tu wanofanya sanaa. kumbe wanasiasa na washikaji ndo wamekuwa wasanii zaidi. kila siku wanabuni mbinu mpya za kuiba. wananchi waaliwa hata kile kidogo walicho nacho.

du!! tutakoma ubishi. kwa sababu kikwete na wakali wake wametuletea mpya zaidi na wanatukweta bila hata ya huruma. hala hala yasije tokea kama yaliyomkuta acheampong ghana. kwa vijana wetu wasiojua historia, nazungumzia baada ya watu wake kumtoa kwenye kiti kijeshi wakamtupia lawama zote yeye wakidai kuwa aliruhusu uozo usambae na kuota mizizi na kuacha rushwa na wizi wa kimasomaso kuwa kitu cha kawaida.

chonde ndugu zangu. . .

No comments: